Jino langu linauma sana usiku naomba msaada

Aiseee!!!!
 
Jamni msininyweshe mikojo buree jamani, nsipopona mtaniambia nile na naniliii kidogo
Jamaniiii!!!!!!!!
Hiyoo dawa imeongelewaa na watu wengi sana sio wa humu jukwaani wa nje kuwa ni dawa nzuri ya jino
 
mi mwenyewe yana matundu mpaka yananikosesha amani
 
Umesema ukweli Mkojo ni dawa tosha ya meno mimi mwenyewe nimewahi kuifanya hiii dawa mwaka 2011 sijaumwa tena na maradhi ya meno ninashukuru mkojo wangu mwenyewe umenisaidia kutibu maradhi ya meno.
 
Mie muhanga wa jino hapa
Naona dawa ya jino imeongelewa na wengi
Itabidi nijaribu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]inatibu kweli hata mm nimetumia
 
Tumia karafu inakata maumivu asubuhi na jion unapaka kwenye jino au fiz
 
Duuh... Ni kweli??
 
Mkuu limepona?
 
Na mm naumwa jino mliopata matibabu mkapona nipeni njia hapa nimeshindwa kulala kabisa❗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…