Nina kipande cha jino lilikatikia limefunikwa na ufizi na kufanya pengo lakini ndani bado kuna kipande cha jino. Hakinisumbui ila ninauliza kama ninaweza kusababisha tatizo lolote kama sitang'oa kipande hicho????

Nakushauri ukaking'oe hicho kipande maana ukikiacha ufizi ukaendelea kukua kitakuletea matatizo baadae hivi unayajua maumivu ya jino? Kakitoe hicho kipande
Hicho kipande kilichobaki ni lazima kitakuja kukusumbua ni bora ukingo'e, au kama hakionekani kwa urahis basi ngoja kikianza kukuletea maumivu basi ujue kishasogea juu juu utakingo'a kwa wepesi zaidi.