Jino linaniuma

Snia

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49
Reaction score
6
Jamani Nina tatizo la jino (linaniuma sana) hivi kuna tiba nyingine mbali na kung'oa?
 
Nenda hospitali kacheki na daktari wa meno ambapo kama limetoboka na halijaharibika sana basi utaweza kuziba na ukasahau maumivu!! Ila uwahi Hospitali linaweza kuambukiza mengine kama ni jino lililotobolewa na wadudu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…