Jinsi biashara ya spea za bajaji na bodaboda inavyoweza kukulipa

Jinsi biashara ya spea za bajaji na bodaboda inavyoweza kukulipa

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Asalaam aleykum,

Naomba mwenye uzoefu au uelewa wa biashara ya spea za bajaj na bodaboda anisaidie mawazo.

Ninataka sana kufanya hii biashara lakini sina taarifa zake sahihi.

Nataka niifanyie DSM maeneo ya Tabata au Kimara.

Mtaji nategemea kuanza na million 5 au 7 hivi.

Nimepata idea ya kufanya hii business baada kupishana kila siku na bajaj na bodaboda mbovu.

Mwenye kuweza nisaidia mawazo, plz do!
 
Tumia njia ulotumia kuzipata hizo m5 , kukuzalishia.
 
Hii biashara inalipa, kwa sasa maeneo ya morogoro road uwakika Mbez-kimara ayo maeneo ukipata safi mi mwenyewe namiliki, Bajaj 2 zipo Mbezi
 
Back
Top Bottom