Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wanangu niliwaambia huyu irene yupo .....ila katutesa uyu mrembo presha ilipanda presha ilishuka
 
Kmmk majanga juu ya majanga utanyooka[emoji23][emoji23]
 
Agiza kinywaji nakuja kulipa
 
Watu hawazijui CALCULATOR VAULT

Humo tunaficha midude ya ajabu ajabu.

Mtu akiishika anaweza Dhani ni calculator tu akapiga hesabu kumbe kuna namba ukibonyeza unazama ndichi unakutana na midude ya ajabu ajabu.

Wanaume tumie Calculator vault.
 
Hapo imekuja. Iryn na mama Janet ni ma-spay wa nchi fulani,hasa France. Ile ofisi yao ni kificho tu. Na ndio maana kuingia tu pale ni complecated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…