Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nilijua tu upendo wa Iryn kwa J ni wa kubeba mimba na limetokea kama nilivyopredict.

Shika hili mwanaume, ikitokea mchepuko akampenda mtoto wako au watoto wako na kuwasifia kila mara kuwa ni wazuri. Tegemea muda wowote ananasisha mimba yako kwa makusudi. Mimi nikishaona hali hiyo naanza kukaa mbali na huyo kiumbe.
 
...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…