Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwani kunakuwa na shida gani ungepokea tu then ukamuonyesha umewatoa out baada ya kumaliza trainings?. Mbona angefurahi tu. Tena mupo wote ofisi nzima?. Isitoshe na yeye amefanya hivyo mara nyingi. Sidhani kama ungepokea then ukamuonyesha baada ya training mmeona mjumuike kwa part ya pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…