Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Du nimesoma Hadi MWISHO.......... Next iryn vipi?
 
Asmah atapata mimba.....
 
Iryn KALIWA KIMASIHARA AISEEEE,HAPA MOVIE NDO MWISHO STERLING KAFA
 
Jamaa anaringa sana kama mtoto wa kike.
Jisomew hata neno la Mungu achana na mitandao isikutumie Bali uitumie. Kwani tokea umeanza kusoma story yake Kuna nini umepata cha kurithisha kwa wajukuu zako ama kuwadithia. Wala hajakuita ,yaani nyie ndio mnaofanya internet inaongezeka Bei Mana inatumika kwa Mambo ya kutafuta Raha.
Tafuta elimu how to invest na ununue hisa za kuja kurithisha wajukuu zako. We've a lot to do in this universe before leaving it than reading and seeking cheap brain dopamine to raise your level of boredom so you wanna feel happy and excited.
Tafuta kitabu usome about our brain utafaidika kuliko kusoma hadithi za namna ya kula mbususu ambazo hazikusaidii.
Soma namna ya kula vyakula vya asili kunavyoweza kuondoa magonjwa mengi ambayo yanatokana na life style.

Najua ubongo ambao mother nature utakuja ku criticize,kunitukana,kunishauri kuwa siko sahihi, ama kuwa namie nimekosa cha kufanya, najua Mana hisia,Imani,mawazo na mtizamo wetu umekinzana. Hakuna marafiki ambao wanakinzana Kila Jambo Bali Kuna maadui.
Njoo unipinge Mana najua ubongo uliopo ni kutafuta pleasure na kukwepa maumivu hata ya ukweli tu hautaki.
 
Ili maisha yakamilike kwa binaadam lazima pande zote za maisha ziwepo. Social ni moja ya pande hizo na ndo maana tuko hapa tunaburudika na hii hadithi iwe ya kutunga ama ya kweli. Inge kuwa haina maana basi fasihi is Inge kuwa inadundishwa mashuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…