Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huu mzigo kumbe bado unaendelea, mpaka na Mary nae kaliwa, umetisha jamaa.
 
Watu8 cacutee
 
Asante kwa muda wako. Story ni tamu sana
 
Unamnyoosha sana Mary aisee hadi huzuni. Yani unapata time ya kucheza playstation na mambo hayako sawa na mwenzako, kwakweli hii episode imenihuzunisha sana na nilikua naisoma huku nikitamani iishe haraka.
 
“ kutokuchepuka na mwanamke mwingine, na niliona kwamba Mary anafaa kuwa mchepuko, huku mama J atabaki kuwa mama wa familia."

Pia, niliongea na Mary kuhusu suala la kunizalia mtoto“

Daaah we mbwa nakupa saluti zako😂😂🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
 
Unamnyoosha sana Mary aisee hadi huzuni. Yani unapata time ya kucheza playstation na mambo hayako sawa na mwenzako, kwakweli hii episode imenihuzunisha sana na nilikua naisoma huku nikitamani iishe haraka.
Mkuu tulia
Mary tayari wamesolve na kuliwa kaliwa nadhani hasira na wivu wake plus genye zilimjaa Mary
 
Episode bora kabisa kuwahi kutokea. Nimeifurahia sana sana!
Mkuu tulia
Mary tayari wamesolve na kuliwa kaliwa nadhani hasira na wivu wake plus genye zilimjaa Mary
😄 Mkuu wakati ule nilikua sijasoma episode 32, na baada ya kuisoma kwakweli hasira zimeniisha ghafla, kiu yangu imekatika sasa. Episode bora kabisa!
 
Episode bora kabisa kuwahi kutokea. Nimeifurahia sana sana!

😄 Mkuu nilikua sijasoma episode 32 kwakweli hasira zimeniisha ghafla, kiu yangu imekatika sasa. Episode bora kabisa!
Ujue unapomnyandua mwanamke popote ulipo sawa sawa na nimemnyandua mimi kwahiyo unaniwakilisha mkuu

Na huyu insider katuwakilisha sawia! Tumemla Mary leo.

Changamoto ni kuwa Queen mwenyewe sasa karudi na Mary karidhia uchepuko
 
Hapo lazima Hilda kahusika. Nadhani Hilda alishindwa kabisa kujizuia kutowapa taarifa za Insider akina Jimmy na Iryn kutokana na uzito wa uhusiano wa Iryn na Insider.
Oyo INSIDER MAN imekuwaje JIMMY WANA MAN na dadake IRYN wakakupata kwenye laini yako mpya? Wakati huo ulikuwa unatumia laini mpya pekee man.
 
Ujue unapomnyandua mwanamke popote ulipo sawa sawa na nimemnyandua mimi kwahiyo unaniwakilisha mkuu

Na huyu insider katuwakilisha sawia! Tumemla Mary leo.

Changamoto ni kuwa Queen mwenyewe sasa karudi na Mary karidhia uchepuko
Ni mtihani sana kwa insider. Yani kila anapofungua zipu kwa mwanamke anajitengenezea Bomu. Sasa amewafanya Asma na Mary washindwe kumove on na mahusiano ya kueleweka kisa yeye. Maana wanampenda mwamba balaa😄
 
Watu wazima dawa. Kuna mwamba alikuambia kaa kimya. Fanya kama humuhitaji sana mtoto, alafu wataamua woa na familia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…