Jinsi binti yake TB Joshua alivyokabiliana na baba yake kwa kufichua maovu yake

Habari za kuhusu TB Joshua ni za uongo zote na wametunga, ila hawatashinda
 
Hizi zote ni stori. Mtoto wa kutengenezwa huyu
 
Hizi zote ni stori. Mtoto wa kutengenezwa huyu
Njaa zinawasumbua.
Viposho vya BBC vinawwnogea.
Evelyn Joshua hajawahi kuwa na Binti kama huyo.
Ana binti watatu.
Mmoja kaolewa na Mtanzania.
Wawili wako nyumbani kwa Joshua na Mama Yao Evelyn.
 


Mwamposa.
 
Ni kweli,hao wachungaji/askofu wote wanaojifanya Wana maajabu ya kutibu watu,ni waongo,wao wakiumwa wanaenda hospital kutibiwa
Eti kuna mtu anapinga,yaani huwa siwaelewi hawa wanaojiita wafuasi sijui wa mitume mara manabii.
Akili zoote huwa wananyang'anywa na hao miungu wao. Nani haujui jinsi Gwajima alivyoibomoa familia ya Mbasha au wanataka mfano gani mpaka wakubali?

Ya yule mtoto wa Kakobe nayo ni uhongo? Wakamhoji Zachariah akingali hai wasije wakasema kuwa ni one side story.

Unaweza usiamini siku ya wanafunzi na wafuasi wa akina Anthony Lusekelo,Mwamposa na mitume na manabii wengine yatakapoletwa hapa km hivihivi lkn ndio ukweli kwamba matendo wanayopitia kondoo wao wanaishi ngomeni lazima yana maajabu mengi.
 
Hii story inanifikirisha sana na scandal aliyoundiwa kijana mmoja nabii mhubiri maarufu daslamu
 
Manabii wote ni waongo waongo tu
Wa ukweli ni Nabii Elyasi tu wa Kibaha
Huyo Binti aliyejifanya Binti wa Joshua aliyeteswa jana kafiwa na Binti yake.
Wanasema hayo ndio majibu ya Udhalilishaji wake kwa Mtumishi wa Mungu.
Mfollow uone anavyo Lia Lia huko.
 
Njaa zinawasumbua.
Viposho vya BBC vinawwnogea.
Evelyn Joshua hajawahi kuwa na Binti kama huyo.
Ana binti watatu.
Mmoja kaolewa na Mtanzania.
Wawili wako nyumbani kwa Joshua na Mama Yao Evelyn.
Wewe humjui Joshua, Kaa kimya tusikilize kilichotokea. Kuna mengi utayasikia ni vema kusikiliza kwanza harafu tuje tupime..
 
Mtutolee ujinga wenu, kwanini hakwenda mahakamani? Huyo ni mtu mzima kama alizaa akiwa hajaokoka!
 
Wa ukweli ni Nabii Elyasi tu wa Kibaha
Huyo Binti aliyejifanya Binti wa Joshua aliyeteswa jana kafiwa na Binti yake.
Wanasema hayo ndio majibu ya Udhalilishaji wake kwa Mtumishi wa Mungu.
Mfollow uone anavyo Lia Lia huko.
Jina lake huko insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…