Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Magazeti ndo yamekufa kabisa, haya yalikuwa yanatoa ajira kubwa sana kwa vijana mijini. Kampuni za magazeti kwanza zilikuwa zinaajiri waandishi wengi, pia zilikuwa na correspondance lukuki kila kona ya nchi, kulikuwa na idara za usambazi magazeti, nazo zlikuwa zinaajiri vijana kibao na mawakala kila kona ya nchi halafu walikuwepo vendors wa mitaani kibao. Bado watu wa matangazo na masoko.CCM ni chama ambacho kimekuwa kinaua vipaji na ajira za watu kila uchwao na uchao.
Maelfu ya watanzania ajira zao au vipaji vyao vimeuawa na CCM ama kwa kuiunga mkono au kuipinga.
Nani anakumbuka zama zile za TMK wanaume na kundi la vichekesho la Zekomedi walipokuwa kama ndiyo alama ya sanaa Tanzania.
Hao jamaa walipishiriki Kampeni za CCM mwaka 2010 ndiyo ukawa mwanzo wa kupoteza muelekeo. Hata msanii Marlaw aliwahi kusema kupotea kwake kimuziki kulitokana na yeye kuruhusu nyimbo zake kutumika na CCM kwenye Kampeni zao mwaka 2010.
Orodha ni ndefu lakini isemwe tu wasanii wengi wamepoteza wafuasi wao kisa walikubali kutumiwa na CCM kwa namna Moja ama nyingine.
Lakini vyombo vya habari Tanzania kwa Kasi ya ajabu vimepoteza watu wanaovifuatilia kwa kuwa watanzania wameamini hivyo vyombo vinatumiwa na CCM kama zana kuisadia kubaki madarakani.
Hizo ni ajira zinazouawa na CCM kisa yenyewe iendelee kubaki madarakani.
Kituo kinachofuata ni ajira ccm na yenyewe kukata roho!CCM ni chama ambacho kimekuwa kinaua vipaji na ajira za watu kila uchwao na uchao.
Maelfu ya watanzania ajira zao au vipaji vyao vimeuawa na CCM ama kwa kuiunga mkono au kuipinga.
Nani anakumbuka zama zile za TMK wanaume na kundi la vichekesho la Zekomedi walipokuwa kama ndiyo alama ya sanaa Tanzania.
Hao jamaa walipishiriki Kampeni za CCM mwaka 2010 ndiyo ukawa mwanzo wa kupoteza muelekeo. Hata msanii Marlaw aliwahi kusema kupotea kwake kimuziki kulitokana na yeye kuruhusu nyimbo zake kutumika na CCM kwenye Kampeni zao mwaka 2010.
Orodha ni ndefu lakini isemwe tu wasanii wengi wamepoteza wafuasi wao kisa walikubali kutumiwa na CCM kwa namna Moja ama nyingine.
Lakini vyombo vya habari Tanzania kwa Kasi ya ajabu vimepoteza watu wanaovifuatilia kwa kuwa watanzania wameamini hivyo vyombo vinatumiwa na CCM kama zana kuisadia kubaki madarakani.
Hizo ni ajira zinazouawa na CCM kisa yenyewe iendelee kubaki madarakani.
mara ngapi?Kituo kinachofuata ni ajira ccm na yenyewe kukata roho!
Aione Pascal Mayalla kwenye jalada.Magazeti ndo yamekufa kabisa, haya yalikuwa yanatoa ajira kubwa sana kwa vijana mijini. Kampuni za magazeti kwanza zilikuwa zinaajiri waandishi wengi, pia zilikuwa na correspondance lukuki kila kona ya nchi, kulikuwa na idara za usambazi magazeti, nazo zlikuwa zinaajiri vijana kibao na mawakala kila kona ya nchi halafu walikuwepo vendors wa mitaani kibao. Bado watu wa matangazo na masoko.
Ingawa kuna athari ya mitandao kupunguza soko la magezeti, lakini kwa kiasi kikubwa CCM imechangia kwa kiasi kikubwa kuua magazeti nchini. Kwanza imeyalazimisha magazeti kuandika habari za ccm ambazo hazina mvuto hata kwa wanachama wao wenyewe, pili chama kimewageuza wandishi kuwa machawa matokeo yake watu hawataki kuyaona hayo magazeti yao.
Unaua kiwanda cha magazeti chenye uwezo wa kuwaingiza vijana zaidi ya laki moja kwenye ajira rasmi na zisizo rasmi halafu unaanza kuhangaika na uwekezaji unaotoa ajira elfu moja! Hivyo ndivyo chama kinavyoua ajira nchi kwa kuangalia maslahi yao ya kutawala badala ya maslahi ya nchi.
List ni ndefu kuna polisi na mahakamaLakini vyombo vya habari Tanzania kwa Kasi ya ajabu vimepoteza watu wanaovifuatilia kwa kuwa watanzania wameamini hivyo vyombo vinatumiwa na CCM kama zana kuisadia kubaki madarakani.
Hata Waandishi wa habari pia hawako huru. Uminywaji umekuwa mkubwa kiasi wanashindwa kuwa wabunifu. Sidhani kama tutazalisha wakina Kikeke wengine kwa miaka hii.
CCM imeshikilia Mateka sekta nyingi sana asee. Kwa akili ya kawaida tu unahisi Simba na Yanga hazikupenda kuombeleza maisha ya Watanzania waliouwawa October 29?
Kwa kila siku ambayo CCM itaendelea kuwa madarakani maisha kiujumla, ubunifu, uzalishaji, sanaa itaendelea kuwa ya wasiwasi hivi hivi.
Kabisa... Hata mauzo ya mashati ya Kadet pamoja na nguo za Khaki.Hata Biashara ya T-shirt za M4 C, People's Power, CHADEMA ✓,No Reforms No Election nk.zimekufa.Zamani ukinunua T-shirt 10 nyeupe za Mitumba,ukachapa hayo maneno,watoto wanakula nyama.: CCM ni hovyoo