Jinsi CCM walivyoburuzana na kulazimisha kupitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi wakati matokeo yashajulikana?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda?

Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika?

Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake?
 
Everything (even elastic material) has a breaking point. Siku upepo wa Swahili Spring utakapovuma nchini Tanzania kama vile upepo wa Arab Spring ulivyovuma huko Northern Africa, watawala wetu watalielewa somo, but it will be too late…
 
Back
Top Bottom