Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 7,672 Reaction score 9,039 Jan 24, 2025 #1 Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake?
Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake?
Pulchra Animo JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 3,718 Reaction score 3,465 Jan 25, 2025 #2 Father of All said: Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake? Click to expand... Everything (even elastic material) has a breaking point. Siku upepo wa Swahili Spring utakapovuma nchini Tanzania kama vile upepo wa Arab Spring ulivyovuma huko Northern Africa, watawala wetu watalielewa somo, but it will be too late…
Father of All said: Jinsi machawa sorry CCM walivyplazimika kumpitisha mtu wao, kuna haja ya kufanya uchaguzi na kupoteza fedha na muda? Kama wanaogopana na kuburuzana uchaguzi utanusurika? Najiwazia tu. Kama anayosifiwa ni ya kweli, kwanini ameogopa machawa yake? Click to expand... Everything (even elastic material) has a breaking point. Siku upepo wa Swahili Spring utakapovuma nchini Tanzania kama vile upepo wa Arab Spring ulivyovuma huko Northern Africa, watawala wetu watalielewa somo, but it will be too late…
Amun Ra JF-Expert Member Joined Jul 30, 2021 Posts 4,713 Reaction score 7,218 Jan 25, 2025 #3 Hakuna mwana ccm anaye mkubali samia zaidi ya hao machawa wake