Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA
Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round
Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo walipasuka goli tatu kipindi kimoja CAF CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 SIMBA WALIANZIA FIRST ROUND NA KUISHIA FIRST ROUND HIYO HIYO
FUNDISHO
Usimdharau CHEKCHEA anaweza kuiingia group stage na wewe ukakuacha unajuta