Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Kwa timu nyingine sawa lakini siyo timu iliyojaza vichaa kama utopolo.JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA
View attachment 2271924
Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round
Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo walipasuka goli tatu kipindi kimoja CAF CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 SIMBA WALIANZIA FIRST ROUND NA KUISHIA FIRST ROUND HIYO HIYO
FUNDISHO
Usimdharau CHEKCHEA anaweza kuiingia group stage na wewe ukakuacha unajuta
Ambapo msimu huohuo yanga alifika mpaka fainali kombe la mabingwa Africa na kumbamiza Al ahly 4 bila.JINSI "CHEKECHEA" JWANENG GALLAXY ALIVYOKATISHA NDOTO ZA "GIANT" SIMBA KWA MKAPA
View attachment 2271924
Naam wakati ratiba inapangwa Jwaneng Gallaxy walianzia hatua ya PRELIMINARY maarufu kama "chekechea" na Simba wakaanzia First round
Lakini kilichotokea hapo KWA MKAPA HATOKI MTU jamaa Ma Giant wa mchongo walipasuka goli tatu kipindi kimoja CAF CHAMPIONS LEAGUE 2021/22 SIMBA WALIANZIA FIRST ROUND NA KUISHIA FIRST ROUND HIYO HIYO
FUNDISHO
Usimdharau CHEKCHEA anaweza kuiingia group stage na wewe ukakuacha unajuta
Ndiko anapoelekea.Anaanza kwa kunyata kwa kuitumia Simba ili kuficha ya Utopwise.πππumekatisha story.
Anzia kule kwa Rivers utd na Uto kipogo cha nje ndani.alafu malizia story baada ya hapo Simba waliamia mashindano yepi mengine ya Africa?