Kimbia huu mji wa manabii, wanga, waganga, Malaya, vibaka na wanasiasa wezi kuliko majambazi.Habari wana jf,
Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam
Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu
Kwasababu hizi chache
1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au kuonekana ni mtu niliyefanikiwa huko nilipo lakini kila nikiwepo hapa hujiona si lolote wala chochote
2. Ni sehemu ambapo hunipa huzuni kwasababu hunionyesha uhalisia hata nipambane kiasi gani hata niwe na Bil 100 bado kuna Meza au nafasi sitazipata
3. Ni sehemu pekee hunionyesha kwamba naweza kupambana nikatengeneza misingi bora lakini kuna familia kamwe sitaweza kuzifikia hata kizazi kipite
4. Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo wao
Pia ndio sehemu pekee vijana wengi wa mikoani wakimaliza vyuo hutamani kubakia kupambania kombe mwisho wa siku huishi maisha magumu sana kupita maelezo kumbe wakati mwingine fursa ziko nje ya dar au tanzania.
Kwahyo ni jiji ambalo hunipa huzuni na masikitiko moyoni
Wewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
ok.Habari wana jf,

I'm competitive in nature siwezi kuwa happy just kuwa na ghorofa moja tu na vi apartment kadhaa tu na biasharaJust be happy.
Hela ninayo ila haitoshi nikipata 1B washikaji zangu nasikia huko wamepiga kazi wamepata 20B we utakuwa sawa?Ukishindwa kutafuta pesa DSM utatafuta wapi?
Hela ninayo ila haitoshi nikipata 1B washikaji zangu nasikia huko wamepiga kazi wamepata 20B we utakuwa sawa?
Amina sana mpambanajiWewe endelea kupambana kivyako kama mafanikio uanayapata kidogokidogo shukuru mungu maana wengine wapo dar ila umewazidi ukisimamia kwenye hustle zako utafikia pakubwa sana na muwazidi usiuzunike sana wengine nyuma ya mafanikio yao kuna haramu na halari lakini pia kumbuka walpambania malengo yao. Mwisho hujui bacground zao lakini mm ni mtu wa aina yako nakushukuru saana na mm nitapambana
Hili nalo Neno mkuuMara zote watakuwepo waliokuzidi sehemu fulani.
Humans are competitive in nature and always we strive to be the best. Thus telling me to just exist doesn't sit well with meAcha kujilinganisha na watu,utajikuta unaishi maisha ya huzuni kwenye uhai wako wote,maisha sio mashindano,
Life is a personal journey rather than a competitive race,
Life is not a race but a journey to be savoured at your own pace.
Yaani unataka mtu amalize Chuo IFM halafu baada ya hapo arudi Katavi. Hiyo elimu ataenda kuitumia kwenye shughuli gani?Habari wana jf,