Jinsi Dar Es Salaam inavyoleta Huzuni Moyoni mwangu

Tatizo lako nimeligundua. Wewe ni mtu unayedhani mafanikio ni kuwa juu ya wengine. Yaani muda wote unajilinganisha na wengine, huna malengo yako, na unataka uonekane wewe ndiye mjanja na mwenye mafanikio kuliko wengine. Watu kama wewe kila unachopata utakiona ni kama takataka kwa sababu tu umeona mwingine ana kizuri na cha thamani kuliko chako. Kwa namna hii utapata sana shida maishani na hutakaa uwe na raha. Naushauri ujiwekee malengo yanayoendena na uwezo wako, fanya kazi kwa bidii na ridhika na ulivyo navyo.
 
Nashukuru kwa nilivyonavyo lakini haimaanishi nisitamani cha zaidi.
Wivu wa maendeleo ni muhimu na ushindani wenye afya huleta afya nzuri ya akili na mwili
Wazungu wanasema "accomplishing the task u thought was impossible arouse your adrenaline.
 
Nashukuru kwa nilivyonavyo lakini haimaanishi nisitamani cha zaidi.
Wivu wa maendeleo ni muhimu na ushindani wenye afya huleta afya nzuri ya akili na mwili
Wazungu wanasema "accomplishing the task u thought was impossible arouse your adrenaline.
Narudia utapata shida sana sana. Hutakiwi uwe na wivu wa maendeleo. Unatakiwa uwe na malengo na juhudi za maendeleo. Kwenye maisha ukishajiona una wivu wa maendeleo basi ujue unapotea.
 
Being comfortable have made most creative and capable men regreat their life choices
Regret comes either way,

Some regret the comfort that stifled their potential,while others regret sacrificing their peace chasing an endless peak.
 
Narudia utapata shida sana sana. Hutakiwi uwe na wivu wa maendeleo. Unatakiwa uwe na malengo na juhudi za maendeleo. Kwenye maisha ukishajiona una wivu wa maendeleo basi ujue unapotea.
Hawezi kukuelewa mkuu,
Bora tumuache tu,ila huko mbeleni atakuja kugundua hilo but itakua too little,too late.
 
Ndio sehemu naona vijana wengi wakiteketea kwa wingi kwasababu yakutaka kuishi au kuendana na life style ambayo iko juu ya uwezo wao

Pia ndio sehemu pekee vijana wengi wa mikoani wakimaliza vyuo hutamani kubakia kupambania kombe mwisho wa siku huishi maisha magumu sana kupita maelezo kumbe wakati mwingine fursa ziko nje ya dar au tanzania.

Kwahyo ni jiji ambalo hunipa huzuni na masikitiko moyoni

Wewe mwana jf mwenzangu unalionaje hili
 
Yaani unataka mtu amalize Chuo IFM halafu baada ya hapo arudi Katavi. Hiyo elimu ataenda kuitumia kwenye shughuli gani?
Ufugaji wa nyuki ama nini?
Mafanikio ni tafsiri yako, Kila binadamu anayependa kubafilisha maisha anaenda dar, iwe wasanii wafanyabishara wakubwa, machagudoa wote ndoto zao dar. Nenda mikoani katagute ukipata kawekeze dar
 
I'm competitive in nature siwezi kuwa happy just kuwa na ghorofa moja tu na vi apartment kadhaa tu na biashara
I just want everything, niwepo na kwenye Meza nzito za maamuzi that's why
Rizika na unacho PATA au unataka kumzidi GSM hiyo ndio shida mkuu, ushindani ni mambo ya zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…