Jinsi Dar Es Salaam inavyoleta Huzuni Moyoni mwangu

I'm competitive in nature siwezi kuwa happy just kuwa na ghorofa moja tu na vi apartment kadhaa tu na biashara
I just want everything, niwepo na kwenye Meza nzito za maamuzi that's why
Life is a journey not a destination,true fulfillment and meaning come from the daily process of living,
learning and growing rather than just reaching a final goal or end point,

Focus on personal growth,daily experiences and lessons learned along the way instead of treating life like a race to finish line.
 
mim nikienda dar huwa napata hamasa ya utafutaj zaid.
kwan fursa hua naziona toka dar kuja mikoani.

Kwa ushauri wangu. ishi maisha yako ucjifananishe na wengne utajambishwa bure tu, huku wengne wakifake maisha waonekane.
 
Maoni Yako na yaheshimiwe!
 
Mikoani ni kuzuri ukipata fursa LAKINI nikugumu sana Kwa wasio na fursa hakuna mitikasi mingi na kama huna huna kweli. Kilimo ni kazi ya kubahatisha bei sio stable haileweki. Mfano mwaka huu Ruvuma na iringa Kuna mahindi mengi LAKINI bei ni ya chini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…