Jinsi Diamond alivyombadilisha Ally Kiba

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,058
Ni ukweli kuwa Ally alikuwa juu sana kuanzia 2007-2010....baada ya Dimond kuja na kuteka soko la Muziki huku akiwazima watu kama taa ally kiba alipotea kwa kasi ya kimbunga kabla ya kuanza kupanda juu kwa kutumia upepo wa Dimond...

Naposema upepo wa Dimond namaanisha kama ally kiba angekuwa na bifu na wasanii wengine kama Barnaba, Belle 9 asingepata kick hii anayoipata kutoka kwa watu ambao wengi wao wanamchukia Dimond for fun , Wengine sio hata mashabiki wa ally kiba..

Napenda kumpa sifa kijana ally kiba kwa kutumia nafasi hii vizuri na pia ameonyesha kubadilika katika sekta zifuatazo..

1. Mavazi, Before ally alikuwa anavaa tu ilimradi amevaa ila sasa amebadilika anapiga mavazi mazuri sana na anapendeza

2. Perfomance.. Kabla ya ujio na mapinduzi ya Dimond kiba alikuwa hatumii sana dancers pia alikiba alikuwa hajishughulishi na masuala ya kucheza na kuimba kwa pamoja kitu ambacho kilikuwa kinamnyima maxi miongoni mwa macho ya wapenda Burudani..

All and all nampa sifa Dimond kwa kumuathiri ally kiba Positively maana pengine bila Dimond ""ally kiba"" angeendlea kutuimbia nakshinakshi zake huku akiwa kavaa vibaya ni mapinduzi ya Dimond yaliyombadilisha ally kiba..

Pia Dimond asikate tamaa kwaajili ya wale wanywa viroba wa jana waliokuja kupiga buuuu...aendelee kufanya muziki mzuri na siku nyingine asipige shoo za viingilio vya mbuzi kama ya jana maana huwa zinajaa wahuni ambao hawana maana, kama wanampenda kiba mwambieni kiba aanze kupiga shoo za 50000 tuone kama wataenda..


#Muzikimzuridaima
 
Hahahaahahahaha mtasema yote naona mmedata diamond alikalia kiti kufuta vumbi tu
 
Kama wapambe wake tu mmechanganyikiwa hivi, sijui huyo Diamond mwenyewe atakuwa kwenye hali gani muda huu.
Ali Kiba kajua kuwavuruga aiseeh!
Ova

Swali zuri sana maana leo timeline imejaa post za show ya Fiesta Jana huku keypoint ikiwa ni Alikiba kumfunika Diamond
 
Kwa taarifa yako hao wanywa viroba ndio wengi kuliko hao wanaotoa viingilio vya 50000 na kama unataka kufanikiwa unatakiwa uwe nao wote bila kuwabagua
 
el nino, huu uzi wangapi leo.Ile jana kwa Almasi ilikuwa changamoto sasa aibadilishe iwe fursa.
 

Yote nimekubaliana na wewe kasoro kwenye viingilio. Unasema leaders kulikua na viingilio vya mbuzi? We chizi kwelikweli. Hata sehemu ya tukio hujafika ndo maana unaongea hayo.

Diamond kapiga shows za sh elf 50 ngapi toka aanze muziki? Kama ni nyingi hazizidi hata 3 au nne na mbali ya kuwa na jina kubwa.

Bei ya halali ya tiketi jana ilikua elf20 kwa walionunua mapema kwenye vituo maalum lakini kwa tulioenda kununulia tiketi leader tuliuziwa na ma-agent kwa sh elf30. Kwa wale walioingia mida ya saa4 mpaka 5 walikua wanagongwa hadi 40.
 
Mavazi ili mradi amevaa??ulitaka avae sketi kama Dai??!Yupo simple lakini anapendeza.Vile ndivyo alivyo ndo nyie mzungu akivaa kandambili mnamuona wa maana wakat kwetu twaendea chooni
 
Kama wapambe wake tu mmechanganyikiwa hivi, sijui huyo Diamond mwenyewe atakuwa kwenye hali gani muda huu.
Ali Kiba kajua kuwavuruga aiseeh!
Ova

Jana umewahi kulala kama nini na wewe...ukatuacha tunasherehekea
 

Naona mkuu leo unawapa dozi ya kutwa mara tatu,dozi ya ngoma inasubiri hapo.
 
Jana ulijisifu,ooh diamond ndie atakayemkalisha T.I....eti dunia itasimama kwa dakk 5!!!!Tupe mrejesho basi??? elnino
 
Last edited by a moderator:
Jana ulijisifu,ooh diamond ndie atakayemkalisha T.I....eti dunia itasimama kwa dakk 5!!!!Tupe mrejesho basi??? elnino

el nino kavunja rekodi jf kwa kuanzisha threads zaidi ya 3 kwenye jukwaa moja na zote zikiwa na dhima moja.
 
Last edited by a moderator:
MASAHIHISHO:
Alikiba ameanza kuwa juu na cinderela 2005 na sio 2007..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…