nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Beef la Eminem na Machine Gun Kelly (MGK) lilianzaje
Mwaka 2012 MGK alicomment kwenye picha ya mtoto wa kike wa Em (Hailie) aliyopost kwenye social media kuwa “she is hot as f*ck”.Hii comment ilimuudhi Em kwani aliona ni kama kumkosea adabu binti yake. Kwamujibu wa Eminem ni kwamba hiyo comment hakuiona mpaka juzi kati alipokuwa anapitia mitandao ya kijamii.
Agosti 2018 Eminem alitoa “a surprise” album inayoitwa Kamikaze,ndani yake kuna wimbo “not alike’ akimrushia maneno na kumtaja moja moja MGK kwa jina. MGK alijibu kwa diss track “Rap Devil” ikiwa kama jibu la wimbo wa Eminem “Rap God”
Mtu mzima Eminem hakukubali dharau za dogo na ndipo alipoachia bomu “Killshot” ambalo inasemwa kuwa litamuua kabisa kimuziki gogo MGK.
Hapa chini ni mstari kwa mstari kati ya mistari ya Rap Devil ya MGK na “bars” za “Killshot” za nguli Eminem.Kumbuka kuwa rap devil ndiyo ilianza kutoka,killshot ni jibu la rap devil
MGK: It’s a fast road when your idols become your rivals, yeah (MGK amesikika mara nyingi
akisema role model wake ni Eminem)
EM: When your fans become your haters ( akimanisha MGK alikuwa shabiki sasa analeta chuki)
MGK: The type to be scared to ask Rihanna for her number ,just hold her umbrella-ella-ella
(kwamba pamoja na kumshirikisha Rihanna kwenye wimbo wake lakini aliogopa hata
kuomba namba)
EM : Rihanna just hit me on a text, Last night I left hickeys on her neck
( akimaanisha namba ya rihanna anayo na kumla kwake ni wakati wowote..hapa huyu mhuni simuamini kama anamla rihanna)
MGK: Yeah I’ll acknowledge you’re the GOAT, But I’m The Gunner, bitch, I got you in the scope
(haeleweki dogo,mstari mmoja anamsifia,mstari unaofuata anamponda!!)
EM : Insult me in a line, compliment me on the next
MGK: Last time you saw 8 Mile was at home on a treadmill
(anamaanisha kuwa Eminem anaitaja tu 8 miles lakin haendagi hometown kwake,Detroit
Treadmill ni mashine ya kufanya mazoezi ya kukimbia,kwamba wakati pekee anaiona maili
nane ni kwenye screen ya hiyo mashine anapofanya mazoezi)
EM: Was watchin' 8 Mile on my NordicTrack (hapa Eminem anamuonyesha kuwa ana hela ya
kunnua kifaa cha kisasa cha kukimbilia(NordicTrack) na sio treadmills cha kizamani na
cheap
MGK: His fuckin' beard is weird (anaponda style ya sasa ya Eminem kufuga ndevu nyingi)
EM: But how you gonna name yourself after a damn gun, and have a man-bun?
(anamuuliza anajiitaje machine gun wakati anaweka mabutu kwenye nywele!!)
MGK: Let’s ask Interscope how you had Paul Rosenberg trying to shelf me…
(anamlaumu Eminem kwa kujaribu kumbania kwa mabosi wa Interscope label)
EM : I say one call to Interscope and you're Swayze (angetaka kumbania ni kupiga simu moja tu
pale Interscope na dogo anaondolewa kwenye label,hapa anakataa kuwahi kumbania)
MGK: About to be 46 years old, dog Talkin' ‘bout “I'ma call up Trick Trick” (kwamba Em kashazeeka)
EM : With your corny lines ("Slim, you're old")—ow, Kelly, ooh
But I'm 45 and I'm still outselling you (ameshakuwa mtu mzima lakini anauza copy nyingi
kuliko yeye kijana na mwenye njaa kwenye game)
MGK: Yeah I’ll acknowledge you’re the GOAT
But I’m The Gunner, bitch, I got you in the scope (brra)
( dogo anatishia kumpiga bunduki slim)
EM : Ho, chill, actin' like you put the chrome barrel to my bone marrow
Gunner? Bitch, you ain't a bow and arrow
( anajiita machine gun wakati yeye hata sio upinde na mshale)
MGK: Stop all the thuggery, Marshall, you livin' in luxury (slim aache kujifanya mhuni wakati
Anaishi maisha ya kifahari)
EM : Luxury, oh, you broke, bitch? Yeah, I had enough money in '02
To burn it in front of you, ho (kutokuwa na hela sio uhuni)
MGK: He like, “Damn, he a younger me (anajiita Eminem mdogo)
EM : Younger me? No, you the wack me, it's funny but so true ( kwamba Kelly ni Eminem
Mdogo asiye na kipaji)
MGK: Let’s talk about the fact you actually blackballed a rapper
that’s twice as young as you (let’s talk about it)
(kwamba Eminem ni mkubwa mara mbili ya MGK)
EM : I'd rather be 80-year-old me than 20-year-old you ( ni bora awe Eminem kikongwe wa miaka 80 kuliko kuwa MGK wa miaka 20)
MGK: But you’re just a bully actin' like a baby
so I gotta read you a nursery (nursery) (slim ni mbabe mwenye mambo ya kitoto)
EM : Got more fans than you in your own city, lil' kiddy, go play
feel like I'm babysitting Lil Tay (slim ana mashabiki wengi kuliko Kelly kwenye mkoa anaotoka
Kelly,kwa hiyo ni kama anamlea mtoto (Lil Tay ni mtoto wa Kelly)
MGK: Put him on the playlist right next to Jay (katika wimbo breaking news Kelly anadai yeye ni
Sawa na Jay z)
EM: You ain't never made a list next to no Biggie, no Jay
next to Taylor Swift and that Iggy ho, you about to really blow
(Kelly hajawahi kuwa kwenye list nyuma ya Jay na Biggie.mwaka 2015 slim aliwekwa kwenye
namba kwa marapa bora nyuma ya Jay na Biggie..anamwambia Kelly yupo kwenye list moja
na Iggy Azalea na Taylor Swift)
MGK: How could I even look up to you? You ain’t as tall as me
5'8" and I’m 6'4", seven punches hold your head still (Kelly anaponda kimo cha slim kwamba
ni andunje)
EM: But if I was three-foot-eleven
you'd look up to me, and for the record
you would suck a dick to fuckin' be me for a second
(hata angekuwa mfupi futi tatu Kelly anaweza kufanya lolote akipata nafasi ili awe
slim ikiwa hata kwa sekunde moja)
MGK: I’m sick of them sweatsuits and them corny hats, let’s talk about it (kwamba slim hajui
Kupiga pamba(siku hizi mnaita kudamshi))
EM : Your red sweater, your black leather
you dress better, I rap better (slim amejikita sana katika ubora wa Sanaa ya kurap kuliko
mavazi)
MGK: Yeah there’s a difference between us
i got all of my shit without Dre producin' me (ayy) (kwamba slim alitoka kwenye game sababu
alikuwa na producer bora-Dre)
EM: Killshot, I will not fail, I'm with the Doc still
but this idiot's boss pops pills and tells him he's got skills
but, Kells, the day you put out a hit's the day Diddy admits
that he put the hit out that got Pac killed, ah!
( slim anadai boss wa Kelly ni teja na akishavuta anamwambia kuwa ana kipaji wakati hana
anamgusa pia na Diddy ambaye ni boss wa Kelly(bad boy) kuwa siku aliyoproduce na
kuachia rap devil ndio siku pac aliuawawa na anamuunganisha diddy na kifo cha pac)
MGK:
EM : So just leave my dick in your mouth and keep my daughter out it