honestly mimi namkubali saana eminen ila his career is over kumbuka watu walidiss saana album yake ya kamikaze na hii diss ndio imemrudisha midomni kwa watu but tuwe wa kweli wimbo wa mgk rap devil ni mzuri kuliko killshot ukweli tuseme ukweli mimi hata mgk nilikuwa simjui but wimbo wake ni mzuri the beat is fire flow is fire the the rest is fire