Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kufeli form 4 ndiyo malezi mabovu hakuna wanafunzi wapo vyuo vikuu na niwabovu sana ...mbona huko vyuo vikuu ndiyo kuchafu kabisa ...hoja yako haina logic ...mbona kuna watoto awajasoma kabisa na wapo vizuri kinidhamu na wapo walio feli wapo vizuri kinidham...kuna tofauti baina ya elimu bora na malezi bora
 
Mkuu hyo elimu yako haikusaidii zaidi ya kuuchosha mwili wako kwa kubeba mzgo wa kichwa
 
Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Mbona unachanganya madesa. Hakuna mahusiano kati ya aina ya malezi na kufaulu. Ufaulu unahusisha vitu vingi na kikubwa ni akili na uwezo wa mtoto husika. Kuna watoto wanalelewa kama wafalme na mazingira nimazuri sana lakini wanafeli. Kuna watoto wanaishi mazingira ya shida sana ,malezi ya mama mmoja , na mitaani kwenye non supportive environment ila wanafaulu.
 
Sawa
 
Kuna watu wengine hakuna hata ya kuwajibu.

Hawana akili kabisa ukiangalia hizo reasoning zao za kipuuzi.
 
Kilichokuchanganya nini?
Umesahau kuwa huyo mtoto alizaliwa kwa wewe kumzagamua mamake bila kumuoa?
Unavuna ulichopanda man.
Wazazi wa mzazi mwenzako nao waliumia kama unavyoumia wewe baada ya kujua binti yao kapewa mimba na mzinifu ambaye ni wewe.
 
History repeat itself 😩😩😩 wewee miezi yote hiyo umekaaa tu bwaaaa! hata huulizii hali ya mwanao mpaka kaharibikiwa ndio unashtuka? Kuna mambo ulkifanya mabaya au mazuri yana tabia ya kujirudia/ kupatiliza, hiyo ndio inaitwa nature. Pole kwa binti yako.
 
Mmh! hapa wenye matatizo ni wote Mama, mtoto na huyo mbakaji.

Ukija upande wa huyu mtoto wako Kama aliondoka kwako kwa kigezo cha kwenda kumsaidia Mama yake kazi ndogondogo. Ili bidi pale alipoona mambo tofauti na aliyoitiwa hasa pale Mama yake aliposafiri, angechukua maamuzi ya kurudi nyumbani(kwako) sababu kilichompeleka pale kilishamalizika, lakini kwa ujinga na ufinyu wa kufikiria akakubali kwenda kuishi kwa rafiki wa mamayake utasema labda hakuwa na pakukimbilia.

Hata pale alipoona sehemu aliyofikia mwenyeji wake haeleweki na jinsia tofauti basi kama angekuwa timamu angekimbia eneo hilo. Lakini binti yako akaridhika kuyaishi matendo ya huyo rafiki wa mamayake. Sidhani kama kumbikiri iliwezekana kwa siku moja.


Ukija kwa Mama mtu, inaonesha kuna makubaliano kati yake na huyo rafiki yake. Huyu rafiki alishampanga huyu maza yawezekana alimpatia hata pesa sio bure. Hivi inawezekanaje Mama amchukue binti yake amlaze kwa rafiki yake kwa kigezo cha anasafiri alafu rafiki mwenyewe ni jinsia (Me) wakati angefanya busara kumrejesha binti yake kwako na angesema nimepata safari. Sidhani kama kuna umbali baina yenu.

Ubaya zaidi ukipiga simu kuuliza maendeleo anadanganya wanaendelea vizuri, kumbe hata hapo yeye mwenyewe hayupo karibu na binti yake. Majirani ndio wanakupa taarifa binti yako na Mama yake walipo kwa sasa.


Unamuomba amrudishe binti yako anasema baadae atampigia shoga yake 🙉 na binti anarudi home anapimwa inakutwa Mimba.


Hapa kuna makubaliano ya Mama na Rafiki sio siri. Mama kashakula kibunda hapa cha pesa. Kwanza angalia anasema mtoto yuko kwa shoga yake alafu huyo shoga yake sasa ni Wakiume.



USHAURI WANGU KWAKO

Ni vizuri wewe kama babu ungoje binti yako ajifungue huyo mjukuu kisha ukabidhi hiko kichanga kwa mkwe wako amlee yeye. Kama wewe uliweza kulea mkojo wako basi hata huyo anaweza.


NINI NINGEFANYA KAMA MZAZI

Ningemtimua huyo binti sababu ukiangalia ni kama alipendezwa na hayo mambo.
 
Upo sahihi kwa kila ulilisema nangoja ajifungue ndo ntapata jibu kamili la kufanya kwa huyo binti kwa sas siwezi kufikiria kumsomesha tena na hako kajukuu katakacho kuja duniani mungu akpenda heri kawe kakiume la sivyo nakarudisha tofauti na hvyo huko huko kwao
 
Umesema vyema kufaulu kunahusisha mambo mengi, na kati ya hayo malezi ni mojawapo. Kuwa kwenye familia yenye uwezo mkubwa wa kifedha haimaanishi kuna malezi mazuri. Malezi ya mama mmoja masikini yaweza kuwa bora kuliko ya ndoa yenye uwezo mkubwa wa kifedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…