jinsi gani naweza ku divert

jinsi gani naweza ku divert

mkalagale

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
71
Reaction score
8
Kama kuna mtu anajua jinsi ya ku divert namba ya mtu mwingine kama akipigiwa simu niweze kusikiliza anachokiongea pleas kwa anaye jua anisaidie
 
Mkalagae nshakushtukia,najua unalotaka kulifanya,don't do it, litakuletea mavumivu ambayo hukutarajia,acha kabisa.Nshawahi kushuhudia matokeo mabaya sana ya hako kamchezo,acha kabisa!
 
Kama kuna mtu anajua jinsi ya ku divert namba ya mtu mwingine kama akipigiwa simu niweze kusikiliza anachokiongea pleas kwa anaye jua anisaidie
Acha kabisa hiyo, utaumia...
 
Hako kamchezo unakotaka kukacheza kanahitaji usali sala za mwisho kabla hujajitumbukiza humo!
 
Ni simu ya nani na ni kwa nini unataka kudivert?
 
nenda kapime presha na kisukari then uniletee cheti nikufundishe atherwise utakufa kabla ya wakati wako ndugu
 
Ni simu ya nani na ni kwa nini unataka kudivert?
ni mpenzi wangu nataka ku divert kwa sababu nimeshakuwa na wapenzi wengi nimewagaramia mwisho wa siku anakutosa kiaina na unamwona na mtu mwingine kwa hiyo kwa njia ya mawasiliano naona ni rahisi kujua kama ana msimamo na wewe au hana kabla sijapoteza muda na gharama pleas nisaidien wana jf
 
Hiyo sio suluhisho! Huo ni mwendelezo wa maumivu
 
ni mpenzi wangu nataka ku divert kwa sababu nimeshakuwa na wapenzi wengi nimewagaramia mwisho wa siku anakutosa kiaina na unamwona na mtu mwingine kwa hiyo kwa njia ya mawasiliano naona ni rahisi kujua kama ana msimamo na wewe au hana kabla sijapoteza muda na gharama pleas nisaidien wana jf

Huo kamchezo ni mbaya ila tuwasubirie wataalam kwani humu wamo tele.
 
ni mpenzi wangu nataka ku divert kwa sababu nimeshakuwa na wapenzi wengi nimewagaramia mwisho wa siku anakutosa kiaina na unamwona na mtu mwingine kwa hiyo kwa njia ya mawasiliano naona ni rahisi kujua kama ana msimamo na wewe au hana kabla sijapoteza muda na gharama pleas nisaidien wana jf

Kijana utakufa siku si zako. acha mambo ya kufuatilia simu yake. ongea nae ikishindikana achana nae.
 
Mbona hakuna anayejibu swali?
mi mwenyewe nashanga jamani mi naomba msaada swala la kufa sijui ugonjwa moyo nitaumia pleas we kama unajua nipe msaada na ndo maana watengenezaji wa simu wemeweka divert na hapa jf naamini ni sehemu nzuri ya kuelimishana
 
Chuku no 5 za mwanzo katika line yako ujumlishe na no 5 za mwisho ktk cm ya mtu unaetaka kudivert then utakuwa umeunganisha mawacliano.
 
huna haja ya kujiumiza wala kufanya mambo yasiyo na ulazima .. sasa kwa kudivert simu ndo atakuwa na mapenzi ya kweli??? kama huna mkakati naye unategemea asubiri kwa muda gani??? achana na mambo ya ajabu
 
Back
Top Bottom