jinsi gani naweza ku divert

chukua tu iyo simu ili upokee live
 
inaonekana mhusika yupo tayari kwa hayo yote mnayodhani yatamuathiri, mpeni jibu tafadhali.
 
Kuna mtu niliishawahi kumfundisha hii mambo na pia jinsi ya kutrack location ya mtu yuko sehemu gani ukimpigia simu, matokeo yake akarudi kunilaumu mimi lol!!
 
mpeni jibu,l mleta hoja hajaomba ushauri .... yeye kaomba kitu specific..
 
Mbona hakuna anayejibu swali?

humu duniani kuna kitu kinaitwa law of action and reaction (law of karma),ukitoa maelekezo ya jinsi ya kudivert (kama alivyoomba) kisha mtoa mada akadivert kwa maelekezo yako na akafanikiwa ,ina maana litakalotokea baada ya hapo ,by implication , litakuwa linakuhusu na wewe mtoa tuition,upo hapo Mkuu? Kibaya zaidi jamaa anataka maujuzi ili ayatumie kufanya mambo ya hatari.
 
Jf bhana baada ya kutoa majibu na wengine tupate maujanja longolongo nyiiingi!!!
 
Naona unakitafuta kisukari na kiharusi kabala ya uzee.
 
Then ukisikia? kuna watu wanakaribisha magonjwa ya kujitakia, ukipata presha sio huyo unayemwangaikia atapata hasara bali wazazi wako na ndugu zako wa karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…