Jinsi gani naweza kulipia developer fee google play console?

Flowerpot

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
215
Reaction score
309
NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni.

NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili kwasababu ya OTP verification code zinazotakiwa kutumwa ambapo google bado hawajaimplement kwenye malipo. Je?, kuna njia nyingine ya kulipia?.
 
NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni. NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili kwasababu ya OTP verification code zinazotakiwa kutumwa ambapo google bado hawajaimplement kwenye malipo. Je?, kuna njia nyingine ya kulipia?.
Hakikisha account yako ina pesa za kutosha.
Jaribu kuangalia conversation ya hela yako mfano kama Google wanakutaka ulipe $1 hivyo kibongo unalipa kama Tsh 2,300 ila inategemea na thamani ya pesa kwa muda huo. Hivyo ukiwa unalipa hakikisha walau kwenye account uwe na Zaidi ya pesa hiyo kwasababu account inatakiwa iwe na kilinda account yaani huwezi kutuma pesa harafu iishi kwenye account.

Sijajua kuhusu NMB ika kwa CRDB unatakiwa baada ya malipo kwenye account isibaki chini ya 3K kwa ajili ya account.
 
Hela ipo zaidi ya wanayohitaji ambayo ni kama 60k hivi.
 
Jaribu kwenya exim au equity bank wana kadi nzuri sana kwa ajili ya online, hazijawahi kukataa kufanya mailolipo kokote

Zinaanzia elf 20
Asante mkuu. Itabidi nifanye hivyo.
 
NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni. NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili kwasababu ya OTP verification code zinazotakiwa kutumwa ambapo google bado hawajaimplement kwenye malipo. Je?, kuna njia nyingine ya kulipia?.
Hulipi, una set tu, ni rahisi Sana, na ni muhimu Sana kuwa nayo
 
Hata Mie niliwahi kutana na tatizo Hilo nilipotumia m-pesa visa card, ilikubali Kwa visa card ya Equity Bank.
Dah hii imekaa poa. ngoja nikafungue leo. Asante sana mkuu.
 
Nanunua Google Play Console kwa bei nzuri Kwanzia laki 3... nicheki..0718474600
 
Back
Top Bottom