Hakikisha account yako ina pesa za kutosha.NImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni. NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili kwasababu ya OTP verification code zinazotakiwa kutumwa ambapo google bado hawajaimplement kwenye malipo. Je?, kuna njia nyingine ya kulipia?.
Hela ipo zaidi ya wanayohitaji ambayo ni kama 60k hivi.Hakikisha account yako ina pesa za kutosha.
Jaribu kuangalia conversation ya hela yako mfano kama Google wanakutaka ulipe $1 hivyo kibongo unalipa kama Tsh 2,300 ila inategemea na thamani ya pesa kwa muda huo. Hivyo ukiwa unalipa hakikisha walau kwenye account uwe na Zaidi ya pesa hiyo kwasababu account inatakiwa iwe na kilinda account yaani huwezi kutuma pesa harafu iishi kwenye account.
Sijajua kuhusu NMB ika kwa CRDB unatakiwa baada ya malipo kwenye account isibaki chini ya 3K kwa ajili ya account.
Ila malipo yanayo hitajika ni kama kwa hela ya kitanzania ni shilingi ngapiHela ipo zaidi ya wanayohitaji ambayo ni kama 60k hivi.
Umejaribu imekataa?Hawataki pre paid card.
Ahaa, Mi nimewahi tumia, lakini ni muda mrefu kidogo.Ndio imekataa wanaandika prepaid cards are not allowed.
Hata Mie niliwahi kutana na tatizo Hilo nilipotumia m-pesa visa card, ilikubali Kwa visa card ya Equity Bank.Ndio imekataa wanaandika prepaid cards are not allowed.
Hulipi, una set tu, ni rahisi Sana, na ni muhimu Sana kuwa nayoNImejaribu na NMB debit card lakini napata "Your card’s issuer declined this request. Contact your bank or use a different payment method. Learn more [OR-CCSEH-26]". Nimeenda bank wananiambia tayari card imewezeshwa kufanya malipo mtandaoni. NIme-google naona wahindi pia linawasumbua hili kwasababu ya OTP verification code zinazotakiwa kutumwa ambapo google bado hawajaimplement kwenye malipo. Je?, kuna njia nyingine ya kulipia?.