Jinsi gani naweza kumiliki Ardhi Rwanda

Jinsi gani naweza kumiliki Ardhi Rwanda

stormryder

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
3,776
Reaction score
5,786
Wadau, nina malengo ya kumiliki Ardhi nchini Rwanda, je ninatakiwa kufata taratibu zipi?

Mimi sio Raia wa Rwanda
 
Nadhani Rwanda ni kama Kenya mtu yyt anaruhusiwa lkn ujue Rwanda ardhi ni tatizo,wana ardhi ndogo ukilinganisha na idadi yao ya watu(density kubwa) so bei lazima iko juu ukilinganisha na kwa Nyerere
 
Asante sana
 
HAPANA Bei Ni Poa sana!!! Ila Kuna masharti kuhusu kujenga!![/QUOTE]
 
masharti gani mkuu,tupe kidogo tupate mwanga[/QUOTE/]
Kuna maeneo ya mjini yameshakuwa planned kwa ghorofa!! So ukinunua kiwanja unatakiwa ujenge according to kigali master plan of 2030!! LA sivyo nunua nje ya mji jenga!!
 
Back
Top Bottom