stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Wadau, nina malengo ya kumiliki Ardhi nchini Rwanda, je ninatakiwa kufata taratibu zipi?
Mimi sio Raia wa Rwanda[QUOTE
Njoo ununue it's easy unaruhusiwa
Asante sanaNadhani Rwanda ni kama Kenya mtu yyt anaruhusiwa lkn ujue Rwanda ardhi ni tatizo,wana ardhi ndogo ukilinganisha na idadi yao ya watu(density kubwa) so bei lazima iko juu ukilinganisha na kwa Nyerere
HAPANA Bei Ni Poa sana!!! Ila Kuna masharti kuhusu kujenga!![/QUOTE]Nadhani Rwanda ni kama Kenya mtu yyt anaruhusiwa lkn ujue Rwanda ardhi ni tatizo,wana ardhi ndogo ukilinganisha na idadi yao ya watu(density kubwa) so bei lazima iko juu ukilinganisha na kwa Nyerere
[/QUOTE]HAPANA Bei Ni Poa sana!!! Ila Kuna masharti kuhusu kujenga!!