Pole kwa hayo yote.
Yaliyokupata yalimpata pia rafiki yangu, especially when you are in need.
Andikisha Kampuni yako au Agency kama ulivyoshauriwa.
Mimi ni Specialist Online/internet marketing.
kama una website ni hatua moja, hatua nyingine muhimu ni kuhakikisha website yako inapatikana na inasomwa.
Watu watapataje website yako, au watu wataijuaje?
Kuna vitu vinaitwa Search Engines, zipo nyingi lakini maarufu ni Google, yahoo,msn/bing,altavista, excite e.t.c..
Pia kwa msaada wa online directory website yako itafahamika.
Now, jinsi gani website yako ipatikane huko kwenye search engines? hasa ipatikane kwenye page za mwanzo.
Website yako itapatikana kulingana na huyo anayetafuta kitu, kama hicho kitu umekitaja au umekiandika kwenye website yako, kitaalam tunaita key words. Pia kuna jinsi ya kupangilia maneno katika website yako ili ilete maana, na ipatikane, tunaita Search Engine Optimization (SEO).
SEO Experts ni watalaam wa kufanya website yako ipatikane kwenye search engine, na isomwe na hatimae msomaji anunue bidhaa unayouza kama ni agricultural product, Travel package, gari, Hotel, Casino, na mengineo uliyonayo.
Kwa kifupi mimi ndo SEO Expert na nafanya part time Website marketing, Consultancy on Advertising,marketing,promotion, na General marketing of the Company through articles,newsletters,email marketing,public relations.
Chuoni nilipata idea ya marketing, how ever through in Job training niliweza kujifunza zaidi.
Kwa sasa nina furaha kuwa nafanya kazi kwa ufanisi na matokeo unayaona.
Kama ukinipa kazi, matokeo utayaona na kama hutaridhika money back!!!