Jinsi gani nitajiunga na chuo kusoma USA

Heshima gani?

Jimbo la florida lina vyuo vikuu vikubwa viwili vyenye heshima kubwa... ambavyo ni university of Florida ambayo wanafunzi wake na alumni wanaitwa gators na florida state university ambayo wanafunzi wake na alumni wanaitwa seminoles..

Marekani wana ligi za michezo za vyuo vikuu.. sasa hao mashabiki wa gators na seminoles wana heshimika sana balaa lao.. pia hivyo vyuo vina heshima sana kwenye utafiti
 
Georgia Bulldog for life [emoji123][emoji123][emoji123]
 
Sasa nilitegemea umekaa Ughaibuni utakuwa na ushauri mzuri kumbe bado una akili za Kibongo bongo,sasa ndo ushauri gani huo wa kufungua Mpesa?
 
Mkuu naomba nije PM kwako.
 
Mkuu Shimba naomba nije PM kwako mkuu.
 
Hivi wamarekani wanashabikia utopolo a mnyama??? Au sisi tu ndo tunajipendekeza

Michezo ni entertainment ndio maana tunashabikia timu za ulaya na america.. kwanza hata mpira hatujagundua sisi.. ni utamaduni wa watu...

Ushabiki ni kwa burudani tu...Ndio maana timu za nje kama manchester, liverpool zina mashabiki wengi Tanzania...huku wao wanaoishi huko manchester hawazijui simba wala yanga
 
I don't like that typing style!
Mkuu ni vitu gani vya muhimu vinahitajika ili kuingia U.S. Cause nilijaribu sana kuingia U. S kwa scholarship lkn scholarship zake huwa sizielewagi kabisa. Japo nilifanikia kuingia U. K kwa Commonwealth scholarship lakini U. S imenigomea kabisa.
 
Exposure muhimu babu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee..
Baridi kali sana nimesota hapa
🤣🤣🤣
Duuh!!
Kwa yale majibu
Kweli kabisa baridi kali nnimessota ❄️❄️❄️❄️
 
Minnesota ya nchi gani?
 
Mkuu ni vitu gani vya muhimu vinahitajika ili kuingia U.S. Cause nilijaribu sana kuingia U. S kwa scholarship lkn scholarship zake huwa sizielewagi kabisa. Japo nilifanikia kuingia U. K kwa Commonwealth scholarship lakini U. S imenigomea kabisa.
Hizo za common wealth ndiyo zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…