Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Aug 25, 2011 #1 Katika sehemu nliyojishikiza, sasa wameniambia wataniajiri! Hofu yangu ni jinsi gani nta-bargain hata kufikia kiwango nachokihitaji mimi! Kwa waliowahi pitia hili naomba msaada wenu!
Katika sehemu nliyojishikiza, sasa wameniambia wataniajiri! Hofu yangu ni jinsi gani nta-bargain hata kufikia kiwango nachokihitaji mimi! Kwa waliowahi pitia hili naomba msaada wenu!