Kwani wamefungua 3rd round? Kama upo Dar nenda. Hafu MUHAS course uliyosema jana iko na competition jaribu na CHAS UDOM.Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
Ee washa fungua, na CHAS ndo nn kakaKwani wamefungua 3rd round? Kama upo Dar nenda. Hafu MUHAS course uliyosema jana iko na competition jaribu na CHAS UDOM.
Shukran kakaAchana napo, nenda CUHAS au KCMC.
Unaweza kujua ada ya kcmc ya nursingShukran kaka
Unaweza kujua ada ya kcmc ya nursingNdio
Hapana mkuu ila kuna mambo ya fee structure yake ukiingia website yakeUnaweza kujua ada ya kcmc ya nursing
Ukiona hakuna option ya kureapply ujue chuo kimejaa!! Tafuta chuo kingineJinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
Una Gpa ya ngapi?Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.