Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahindi ya pepkoni, ulezi, soya beans, mtama, uwele, ngano,muhogo, karanga lkn zinasababishaga unga uvunde mapema, mchele ingawa nao unasababisha uji ukatike mapema. NB SOYA INATAKIWA IROWEKWE SIKU 2 THEN ITOLEWE MAGANDA YOTE NA IOSHWE NA MAJI SAFI ZAID YA MARA 8. unaweza pia ukaweka dagaa pika na maziwa fresh weka na siagi ya ngombe ukikosa weka mafuta ya alizeti au karanga. KILA LA KHERI

loh!!
Huo mchanganyiko wote ni mlo mmoja?mtoto hawezi akavimbiwa kweli?
asante sana.mtoto anatarajia kuacha ziwa tareh 5/1/12.Nadhani nishapata mwanga jinsi gani ya kuchanganya chakula.SITAKI NIMPE LISHE ISIYO NA UTAALAM.NDO MANA NIMEKUJA JUKWAANI.
Asante wataalam wangu!Si vibaya kwa yoyote mwenye cha kuongezea amwage hapa.
asije akanizidi uzito....nadhani huyo nh mzazi na anajua kasema nini...inapendeza
Hatutaki jua lini anaacha ziwa aiseee
BossladyNimeuliza kwasababu nimeona watoto wengi wakikuzwa hata mie naweza sema nimekuza ila kuchanganya vitu vingi hivyo sijawahi ona wala sithubutu.