Jinsi gani ya Kujiunga na degree ya kwanza?

Kwiyo

Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
64
Reaction score
11
Habarina za asubuhi ningependa kufahamishwa jini ya kujiunga na vyuo vikuu kupitia tcu wanaangalia vigezo gani na nafsi wanatoa lini msaada pls
 
Kjana hapo inatakiwa uwe na principle pasi mbili haijalishi A,B,C,D au E, unachotakiwa kufanya yakupasa kwenda benk ya NBC utanunua vocha kwa kiasi cha fedha kilichotangazwa kisha unatakiwa kwenda kwenye internet cafe kujaza fomu yao.Angalisho ni vema ukaenda kwa mtaalamu ambaye anakuwa na kitabu kinachoonesha vyuo wanachama wa TCU na Course zinazotolewa na vyuo hivyo likiwemo na swala la Cut off points kwa kila course.Nafasi huwa zinatangazwa na kutolewa kuanzia mwezi wa saba,nane nk.Lakin kumbuka kama unahitaji mkopo kuna process nyingine.Nazani nimeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…