Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
cret 10, za PEPs, kila cret watakuuzia full kwa maana cret tupu na chupa zake na pamoja na soda jumla ni 19000, so kwa cret 10, kama 190000, baada ya hapo unajaza maombi na kutuma, baada ya mwezi unaletewa hilo friji kama yameshafika au kama bado unasubiri. mambo yote haya nenda kwa wakala aliyekaribu na wew au kwa ubora zaidi nenda PEPs kiwandani.kwa upande wa coca sijui. samahani kwa kiswahili changu cha kiganda.