wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 109
wanajamvi naomben mnielekeze vyakula ama dawa ambazo zitaweza kunisaidia kupunguza mafuta ktk mwili wangu, maana nmeambiwa na mafuta mengi sababu ya kutokwa na vitu vyeupe kwenye matundu ya vinyweleo sehemu za usoni, shingon, kifuan ,mgongon na mabegani. Alafu usoni ,kifuani na mgongoni kuna vipele vinaniota mara kwa mara.
