jinsi gani ya kupunguza mafuta kwenye mwili,

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
109
wanajamvi naomben mnielekeze vyakula ama dawa ambazo zitaweza kunisaidia kupunguza mafuta ktk mwili wangu, maana nmeambiwa na mafuta mengi sababu ya kutokwa na vitu vyeupe kwenye matundu ya vinyweleo sehemu za usoni, shingon, kifuan ,mgongon na mabegani. Alafu usoni ,kifuani na mgongoni kuna vipele vinaniota mara kwa mara.
 
If you're serious kunywa nusu Lita ya maji ya moto kila asubuhi yaliyochanganywa na vijiko vi4 vya asali na kipande cha ndimu au limao ukipata na mdalasini pia ni poa
 
If you're serious kunywa nusu Lita ya maji ya moto kila asubuhi yaliyochanganywa na vijiko vi4 vya asali na kipande cha ndimu au limao ukipata na mdalasini pia ni poa

kwa muda gani nifanye ivo
 
Unguza mafuta kwa kufanya mazoezi. Hakikisha kabla hujaenda unakunywa maji ya uvuguvugu then ndo uanze kutimua mbio au kucheza mchezo wowote
 
If you're serious kunywa nusu Lita ya maji ya moto kila asubuhi yaliyochanganywa na vijiko vi4 vya asali na kipande cha ndimu au limao ukipata na mdalasini pia ni poa

Akizidisha sana hizo acid inaweza kumletea dalili za vidonda vya tumbo so ahakikishe anakula pia asikae na njaa huku akitumia asali maji moto na ndimu ni hatari
 
Akizidisha sana hizo acid inaweza kumletea dalili za vidonda vya tumbo so ahakikishe anakula pia asikae na njaa huku akitumia asali maji moto na ndimu ni hatari

Ndio breakfast yangu daily na imenisaidia sana mchana ale kama kawaida
 
Mkuu, hiyo namba 3 na namba 5 ndiyo mwisho wa matatizo yako...fika pale Million Hairs Salon ili upate maelezo zaidi.
Kwanza utapimwa na kifaa maalumu...na mkishakubaliana utaanza clinic na tatizo lako litakwisha. Lakini jipange.
 
Dawa rahisi na nyepesi fanya mazoezi kwa kukimbia nakunywa maji yakutosha daily achana na mengine yote.
 
Jaribu kucontrol vyakula unavyokula, kunywa sana maji jaribu kufanya mazoezi ya kupunguza mafuta
 
Eyebrows tattoos inahusika vipi kwenye kupunguza mafuta mwilini???
 
Changanya vijiko viwili vya chakula vya asali na juice ya limao moja kwenye Maji ya moto kiasi na tumia alfajiri mara tu ukiamka. Pia mchana na kabla hujalala.

Kama utaamua kufanya hivi kwa wiki moja huku ukila matunda, salads, juices na maji I can guarantee u utakata kilo 2 kila wiki.

The reason ni kuwa mchanganyiko huo na vyakula hivyo vina THERMAL EFFECT. Mwili unatumia nguvu nyingi sana ku digest, absorb and assimilate as a result mafuta yaliyoko mwilini ambayo ni stored energy yanatumika faster.

Vist my blog: Mtsimbe.blogspot.com

Good luck! Usisahau kuleta feedback
 
tuelekeze kuhusu hiyo

MRT complex.
A delicious, low calorie and highly soluble nutritional drink, with complete vitamins, proteins, and energy releasing amino acids that replaces your meal to help you reduce weight safely fast and effectively while avoiding the hunger pangs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…