Jinsi gani ya kuset data plan katika Simu?

John Z

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
5
Reaction score
6
Samahani, mwenye uelewa na hii feature anisaidie jinsi ya kuset data plan

 
Mkuu achana na hiyo ya simu,tumia hii app.Utanishukuru bila shuruti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…