A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Ok.....wanataga wao?Wana mayai yao maalumu ambayo yanapatikana kwenye kampuni za uzalishaji wa vifaranga broilers
Aisee wafugaji wa kuku mko wap ktk hili mbona hamsem?!Ngoja waje kukupa muongozo...
Mkubwa, unanikumbuka?Ngoja wajeView attachment 2040985
Hapana havifanani. Broilers wanahitaji balanced feed zaidi kuliko wa kienyeji.Huwa najiuliza broilers na kuku wa kienyeji, vyakula vyao vinafanana
Inategenea na aina ya kuku.Habarini za jioni wanandugu,
Nimekuja kwenu kuomba kufahamishwa au kuelimishwa namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku, chakula hicho kikiwa na virutubisho vyote pamoja na madini yote.
Naombeni muongozo wenu katika hili
Asanteni
Hii formula ya kuku wa kienyeji ndio inahitajika haswa..Inategenea na aina ya kuku.
Je kuku wako ni wa kienyeji au wa kisasa?
Wana umri gani?
Unaweza kupewa formula kwa kuku wa kienyeji, ila kwa kuku wa isasa ni ngumu kwa sababu wanahitaji special feed zaidi ili waweze kumaintain productivity.
Vifaranga wana wiki moja sasa na ni aina ya saso,Inategenea na aina ya kuku.
Je kuku wako ni wa kienyeji au wa kisasa?
Wana umri gani?
Unaweza kupewa formula kwa kuku wa kienyeji, ila kwa kuku wa isasa ni ngumu kwa sababu wanahitaji special feed zaidi ili waweze kumaintain productivity.