kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 161
- 280
asante mkuuu. i have intermediate of codding skills, mysql as well. for now nimeshamaliza mysql, ila bado nimeDedicate two weeks for solving questions. baada ya hapo naenda kwenye excell (japo excel nina basic knowledge)Nilianzaga hiyo safari kama mwaka juzi hivi ila mambo yalinizidi nika acha.
Ukiwa unaona hapo unahisi ni vitu vichache tu unatakiwa kujua ila ukiingia ndani ni vingi mno.
1- Excell hii ndio rahisi kuliko zote.
2-SQL hapo ndo shuhuli ina anzi ujue MySQL, Microsoft DataBase, Bado cloud kama Oracle.
3-Python Uwe na Basics nzuri, ili usome Pandas and Numpy Libraries.
3-Uje sasa kwenye data visualization hapo kuna Tableau na PowerBI.
Ukimaliza hapo unakuta tena kuna vingine vingi vinaongezeka njiani as you go.
KAMA UNA MUDA WA KUTOSHA NA CONSISTENCY INAWEZEKANA KABISA.
Mkuu hii unasoma online ama kuna physical class?asante mkuuu. i have intermediate of codding skills, mysql as well. for now nimeshamaliza mysql, ila bado nimeDedicate two weeks for solving questions. baada ya hapo naenda kwenye excell (japo excel nina basic knowledge)
sante sana
Nasoma Online, sio from zero, bali nina knowledge toka chuo mkuu. saivi naongeza tu skills.Mkuu hii unasoma online ama kuna physical class?
Poapoa. Nataka kupiga hizi mambo.Nasoma Online, sio from zero, bali nina knowledge toka chuo mkuu. saivi naongeza tu skills.
Nasoma Online, sio from zero, bali nina knowledge toka chuo mkuu. saivi naongeza tu skills.
Wakuu AI haiwezi kuathir kwenye hii sekta???Poapoa. Nataka kupiga hizi mambo.
Mkuu hii unasoma online ama kuna physical class?
AI ni kama chakula, kitajaza tumbo, lakini sehemu ya maji haikosekani.Wakuu AI haiwezi kuathir kwenye hii sekta???
Kivip mkuu nielewesheAI ni kama chakula, kitajaza tumbo, lakini sehemu ya maji haikosekani.