Jinsi Generali Idd Amin alivyompindua Milton Obote madarakani

Wakati Iddi Amin anaongea na vyombo vya habari alisema Obote atarudi nchini kama a normal citizen na sio kama President wa Uganda, Jamaa alikuwa na sapoti kubwa sana nadhani ni kutokana na ufisadi aliokuwa ameufanya jeshini kama mkuu wa Majeshi, ambapo alitembeza pesa na ahadi za vyeo
 
Obote alitaka kumfunga Idd Amin kwa ufisadi.
Kwa nini Israel kitambo sana Africa nzima inapenda Uganda tu ? Dogo Idd alistukia ujinga akarudi kwa waarabu faster, mchana kweupee kawachana Israel. hapa siyo Bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…