chaz beezz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 217
- 865
Ni muda wa miezi takribani miwili Sasa nipo nipo nyanda za juu kusini uku mkoani Mbeya Kama mnavyojua hali ya hewa ya uku kwa Sasa baridi, upepo na vumbi Kali ndo muda wake hivyo nimejikuta ngozi yangu inaharibika kwa kufifia nazidi kuwa mweusi kila mafuta nayopakaa mwilini nikama yanadunda vile kiufupi nazidi kupauka tu.
Hivyo basi ningependa kwa wale wazoefu wa hii hali wanaoishi mazingira ya nyanda za kuu kusini au Kama ukisha wahi kuishi mazingira Kama haya ulifanyaje kuilinda ngozi yako dhidi ya kipupwe. Mnishauri mafuta gani napaswa kutumia ili ngozi yangu iwe sawa maana nazidi kufifia sana jinsia me.