Jinsi hukumu ya Jaji wa Rufaa ilivyookoa Maisha ya Hakimu na Mkuu wa Taasisi

Nimeiona aiseeeee
 
Mimi mwenyewe kuna mpuuzi namlia taimingi. Ntaenda naye kwa umafia wa kiserikali kwanza. Ikishindikana tu....
 
Safi sana mkuu.
 
Mi na roho mbaya ila ww ni shetani live
 
Niliwahi kusema hapa,uchawi upo na usicheze na watu utakufa.

Soma hapa.

 
watu wanaongoza kurogwa kila siku!.
*polisi
*mahakimu
*wezi
*wazulumaji

ndio maana wanamaisha ya ajabu mwisho wa siku
 
huyo mganga fanya mpango tumuone ili tumalizane na waliodili na kesi ya Kaka mbowe nawanaodili na kesi ya mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…