Jinsi Huyu Dada alivyonikataa Kimapenzi

Jinsi Huyu Dada alivyonikataa Kimapenzi

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Wakuu Habari zenu. Nina kisa hiki siwezi kisahau muda mwingine nikikumbuka nacheka. Kuna Manzi mmoja ofisini tulikuwa idara tofauti katika tasisi moja muhimu Dar es salaam

Basi nilivutiwa nae nikawa nampenda sana na nilijitahidi kila ambacho angekitaka Urahis kwake kazini nampambania, aliwahi kujaribu kuomba uhamisho kazini kweli nilikuwa kitengo hicho kweli nilichekecha akahama

Kumbe kule alikohamia alikuwa Ana mwamba mwingine nikatonywa Basi njiapotezea sababu nlikuwa nampenda na yeye akafahamu na muda mwingine nikimgusia ananiambia Mimi ni rafiki yake (friend zone) na namba ya simu aliyonipa niwasiliane ilikuwa kiswaswadu nilikuwa namuona Ana smart lakini akaniambia huwa haitumiagi hata WhatsApp hayupo active

Basi nikaacha nikaendelea na maisha yangu akawa akikaa muda Ana nicheki kunisalimia tu then anapotea,

Basi bwana nikala teuzi kazini nikawa bosi wake 🤣🤣🤣🤣alipopata taarifa karudi spidi hadi anamkandia huyo mshikaji hamjali hamzingatii Mara anataka anitoe Out, Ali Niambia hatumii smartphone majuzi kanitext yaani anaforce king hatari yaan simu za kunijulia hali Mara anataka aongee na bi mkubwa wangu.

Basi namuangalia tu najichekea, Bahati kanikuta good boy otherwise unatembea nae then unamuacha sababu wanawake anapokosa msimamo huwa wanatumika sana hasa huku makazini
 
nimekumbuka wimbo wa uno wa harmonize halafu hapohapo kichwa changu kimemuambia dj walete na "mtoto kautaka"..😁
 
Basi namuangalia tu najichekea, Bahati kanikuta good boy otherwise unatembea nae then unamuacha sababu wanawake anapokosa msimamo huwa wanatumika sana hasa huku makazini

Badilisha title ya uzi wako...

"Jinsi huyu dada alivyonikataa kimapenzi" haipo sawa maana unaonekana mtu mwenyewe domo mbigiri hata kutongoza huyo dada hujatongoza, sasa sijui huko kukataliwa kunatokea wapi...
 
Bandika Uz wako uweke title hiyo
 
Back
Top Bottom