Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Yaani hujaolewa ni umezini na unaendelea kutamba kwa kuonyesha moment za matunda ya uzinzi wako.
Ama ulimwengu au mimi ndiyo haumuelewi mwenzie.
Mbona hapo haujachanganya.ukichanganya hata hicho kiti huwezi kukikalia
Duniani kila binadamu ana baya lake,usijisumbue kuongelea mabaya ya wengine ni vyema ukayatangaza maovu yako kwanza na mwisho wa Siku atoaye hukumu ni M/MunguYaani hujaolewa ni umezini na unaendelea kutamba kwa kuonyesha moment za matunda ya uzinzi wako.
Ama ulimwengu au mimi ndiyo haumuelewi mwenzie.