Jinsi ilivyokuwa Linah akipelekwa Leba alipokuwa na Uchungu wa Kujifungua

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike na hivi ndivyo ilivyokuwa kabla ya kujifungua alipokuwa anapelekwa Leba.


Hongera sana Malkia wa Nguvu Linah Sanga kwa Mtoto
 
Mbona hajamalizia kutuonyesha..... Mambo mengine kwetu sisi wabongo ni kama maboso tu!
 
Mara mweupe mara mweusi mara wa bluu haeleweki..au kageuka jini?
 
Hakakurekodi wakati wa kujifungua. Limbukeni
 
Jambo kama hili mtu analeta Jf?then baada ya mtoto kupatikana anapeleka facebook na Instagram bila idhini ya mtoto.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Yaani hujaolewa ni umezini na unaendelea kutamba kwa kuonyesha moment za matunda ya uzinzi wako.

Ama ulimwengu au mimi ndiyo haumuelewi mwenzie.
Duniani kila binadamu ana baya lake,usijisumbue kuongelea mabaya ya wengine ni vyema ukayatangaza maovu yako kwanza na mwisho wa Siku atoaye hukumu ni M/Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…