Hahahaa huyu ni kama shipa teh teh teh! Mbele halikai nyuma halikai kati halikaiMara mweupe mara mweusi mara wa bluu haeleweki..au kageuka jini?
Tumekatazwa kuhukumu hatujakatazwa kutambua mwenzetu anapokwenda kinyume.Duniani kila binadamu ana baya lake,usijisumbue kuongelea mabaya ya wengine ni vyema ukayatangaza maovu yako kwanza na mwisho wa Siku atoaye hukumu ni M/Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kutamka hii kwa sautiTumekatazwa kuhukumu hatujakatazwa kutambua mwenzetu anapokwenda kinyume.
Wote sisi hufanya machafu ila hiyo haihalalishi kujitangaza.
Nikasema, ama ulimwengu au mimi ndiyo haumuelewi mwenzie
Mama sijakwambia kama mimi msafi ila nimesema uchafu wa wengi hauhalalishi kujitangazia machafu yako.Jaribu kutamka hii kwa sauti
Yaani hujaolewa, umezini na anaendelea kutamba.......tamka na lile neno la mwisho kufurahia moment za uzinzi wako!
Je ni Lina pekee ndie mzinzi wewe hujawahi kufanya zinaa? Je maneno hayo ukiyaweka katika hali ya matamshi ukawa unamwambia mwingine si ni sawa na kumuhukumu? Ashakum si matusi ila wewe mwenyewe unaweza kua ni mmoja wa watoto uliyepatikana kwa zinaa! Subhakheri kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Msanii wetu pendwa Esterlina Peter Sanga almaarufu officiallinah amejifungua mtoto wa kike na hivi ndivyo ilivyokuwa kabla ya kujifungua alipokuwa anapelekwa Leba.
Hongera sana Malkia wa Nguvu Linah Sanga kwa Mtoto
Uchungu ulimzdMbona kawa mweusi ghafla, kulikoni?
Wa 6