Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Hao ndio wanawake mzeya. Wee wagegede tuu na kutupa kule. Usijidanganye kumuoa huyo form 4 lady yatarudi yale yale.
 
Wanawake huwa wanang'ang'ania mali mgawane mfano biashara lakini cha kushangaza huwa zinawashinda zinakufa

Hawa viumbe ni vivuruge

KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Utoto unakusumbua kua kwanza!

Unaandika haya huku baba na mama yako wanazeeka pamoja na wanaamka chumba kimoja
 
Nina experience moja tu apo nilipo achana na mke wangu biashara yangu iliyumba sana
 
Alikuwa limbukeni, usiombe kukutana na ke mwenye hulka hizo aisee wanaongea kauli mbaya sana za kujiona miungu watu,
 
Tusikie na upande wa pili then tutahitimisha.
 
Pole sana mkuu,huyo aliingiwa na tamaa ya pesa na hiyo shida ipo kwa wanawake wengi wao wanawaza mkiachana mtagawana mali
 
Hapo ndipo umefeli, yaani umemuachia 40m, kiwanja na usafiri alafu bado unampa 300k!!??
Utakua unashida mkuu....
Laki 3 ni ya mtoto mkuu soma vizuri, mtoto akikua atamchukua sema hapo napo atapambana na mtihani wa step mother...God forbid
 
Laki 3 ni ya mtoto mkuu soma vizuri, mtoto akikua atamchukua sema hapo napo atapambana na mtihani wa step mother...God forbid
Mkuu.....
Hivi kweli 300,000 unaona nisaawa kwa kutoa matumizi after each and every month...🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…