Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Chai hizi. Biashara ya kuanza 2017 kufikia 2020 ikuingizie 6m per month. Ok watakuja dm usijal
Mtandaoni mastori mengi Sana, unaweza kuta jamaaa ata kazi hana. Anatufunga kamba, siku izi Jamii Forum vituko vingi
Nimesoma comment nyingi sikujua kuna wadau wachache mtaligundua hili huyu tungekutana kwenye jukwaa la biashara hiyo faida ya mil 1 kwa wiki alikuwa anaipataje
 
Daah mwana pole Sana huyo aliponzwa na marafk zake
 
Bado hujakoma tu unataka kuoa tena! Watu wengine huwa hamjifunzi aisee! Mpaka mtoke damu masikioni kama kenge... Achana na mahusiano master..hit and run. Utakuja nishukuru, otherwise utakuja na uzi mwingine hapa
 
Utoto unakusumbua kua kwanza!

Unaandika haya huku baba na mama yako wanazeeka pamoja na wanaamka chumba kimoja
Ndo za zamani sio za siku hizi. Wanawake wa siku hizi hamna kitu..kila siku tuna*omba wake za watu kwa sound na vihela mbuzi. Ni ujinga kuoa hawa wanawake wa kisasa
 
You think ni Muhehe ,!!!???
 
Asante sana kwa ku share nimejifunza kitu. Naamini uliyempata mtafika nae mbali ila usifanye haraka kuoa. Endelea kusoma ramani kwanza
 
Nimesoma comment nyingi sikujua kuna wadau wachache mtaligundua hili huyu tungekutana kwenye jukwaa la biashara hiyo faida ya mil 1 kwa wiki alikuwa anaipataje
Linawezekana kwanini lisiwezekane??
Sidhani kama jamaa kaongopa.
 
Jamaa yetu alikuwa na mzunguko mzuri sana katika utafutaji hela na Mungu si Athuman alimjaalia kuwa na pesa haswaa.

Lilikuja kutokea vurugu baina yake na mkewe kiasi mwanamke akakimbilia mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa mali.

Huwezi amini pamoja na mwanamke kupata mgao wa fedha, duka kubwa la bidhaa za matumizi ya nyumbani, salon ya kike, nyumba na gari, hivi tunavyoongea hana hela na anaishi kwa kaka yake. Hili limetokea miaka minne tu uliyopita.

Mwanamke anaomba yaishe arudi kuishi kwa aliyekuwa mumewe. Kutafuta hela ni kazi ngumu sio sawa na kuzitumia

Kazi kweli kweli
 
Huwa wanalilia wasivyoweza kuviendesha.
Wana mentality ya kuchukulia kila kitu simple.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…