joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
If you kill each other like animals, you hate each other, you sleep in slums, and you don't have toilets, which civilization are you talking about?Nchi zilizo choka kishenzi., dead states. The most uncivilized countries in Africa. Hatutaki kura zao, let them get civilized first.[emoji23][emoji23]
Vyombo vyenu vya habari hakuna siku inapita bila kuitaja Tanzania na Magufuli, wivu umewajaa, kipindi hiki cha Corona mumetumia nguvu nyingi sana kuichafua Tanzania, Mungu amewalaani sasa hivi imewageukia ninyi Corona inawatesa.Roho ya kichawi hii, unakimbia ukifikiria unakimbizwa na hakuna aliye na haja na wewe (watanzania wengi walivyo katika fikra zao, na walivyo aminishwa). Siku ile mtajua wakenya wengi ata hawaifahamu Tanzania na they dont even care, utakua umepoteza mengi.
If you kill each other like animals, you hate each other, you sleep in slums, and you don't have toilets, which civilization are you talking about?
Tulishasema, kama vipi kila mtu abaki kwao, Kenya lengo lenu lilikua ni kuichafua Tanzania, mlikua mnasubiri kuona Tanzania tunakufa kwa wingi ili kuthibitisha madai yenu kwamba Magufuli ni mkaidi hataki kufuata kanuni za kujikinga, mkajaribu kuilazimisha Tanzani kwa kufunga mipaka na kulazimisha kuwapima Madereva wa Tanzania, tulipojibu mashambulizi ndio mkarudi nyuma, mlitaka kututishia Nyau, mkagundua hatutishiki.Ukweli mchungu ni kwamba Tanzania inajichafua yenyewe!Nchi za Afrika mashariki zinaingia makubaliano ya madereva wake kupimwa corona nchini mwao na nchi zote zinafanya hivyo isipokuwa Tanzania inakuwa janja janja!
Vyombo vyenu vya habari hakuna siku inapita bila kuitaja Tanzania na Magufuli, wivu umewajaa, kipindi hiki cha Corona mumetumia nguvu nyingi sana kuichafua Tanzania, Mungu amewalaani sasa hivi imewageukia ninyi Corona inawatesa.
Nenda YouTube au Google andika " Kenya ........news on Magufuli/Tanzania", hapo nilipoacha wazi, andika jina la stream media unayotaka.Show me yesterday's news where Tanzania was mentioned in any mainstream media??, na uweke link ya hiyo media house (iwe KTN, KTN NEWS, CITIZEN, NTV, K24, KBC, EBRU, Switch TV., na radio na gazeti pia etc), do analysis ata ya mwezi mzima then come up with data of how many times Tanzania is mentioned.[emoji23][emoji23][emoji23] utapata in Tz media Kenya is mentioned more. Hapa na kuhakikishia, mnatajwa wakati you make news., mnafanya ujinga hadi dunia nzima inawashangaa isikue Kenya!.,
Get me yesterday's news on Tz fron Kenya's mainstream media wacha hizo imaginations zako za uchwara.
Nenda YouTube au Google andika " Kenya ........news on Magufuli/Tanzania", hapo nilipoacha wazi, andika jina la stream media unayotaka.
we will surround you n crash you without firing a bullet...
hapa jiwe aliwapiga kipigo kibaya saana hasa India naskia watu zaidi ya 5000 walipoteza kaziCARIFONIA,
Jibu lipo kwenye tanzanite
Hadi 2015
India %?
Kenya %?
Tanzania %?
Kisha angalia hadi mwaka huu 2020
Wewe ni mpumbavu sana, nimekuambia weka jina la "Stream media" yoyote unayoiamini uona kama hutopata habari za Jana au wiki hii, tatizo liko wapi?, wacha kuwa mjinga wewe.Nenda youtube [emoji23][emoji23][emoji23], weka news ya jana hapa, or the whole of last week! Youtube any Tom Dick n Hary can post any news ya whatever day. Nakuambia wewe umechoka kishenzi hauna hoja ni porojo tu, you cannot substantiate your arguments with facts. [emoji23][emoji23][emoji23]
4days backNenda youtube [emoji23][emoji23][emoji23], weka news ya jana hapa, or the whole of last week! Youtube any Tom Dick n Hary can post any news ya whatever day. Nakuambia wewe umechoka kishenzi hauna hoja ni porojo tu, you cannot substantiate your arguments with facts. [emoji23][emoji23][emoji23]
we will do all at the same time... kanyanga Tanzania ...I think you should surround to crash your
1. Tibalism
2. Nepotism
3. Terrorism
4. Corruption
5. Impunity
6. The recent enemy Corona
Before you go to surround Tanzania.